Katika mikakati wa kuendelea kutafuta fursa za wanachama na kupanua wigo wa ushirikiano,      Uongozi wa Chama cha Wamiliki wa Viwanda Vidogo na Wazalishaji Wadogo Tanzania (TASSIM) umeweza kutembe
Kikao hiki cha tatu, kiliweza kuwashirikisha wadau mbalimbali wakiwemo wa sekta binafsi na taasisi za kifedha za hapa nchini pamoja na wamiliki wa Viwanda vidogo na wazalishaji wadogo wa Tanzania,
SERIKALI kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara imeahidi kuendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wazalishaji, wafanyabiashara na wenye viwanda ili kukuza uchumi wa nchi, ikiwa ni pamoja na kusimamia
WAJASIRIAMALI wanaozalisha bidhaa za aina mbalimbali wameshauriwa kuthibitisha ubora wa bidhaa ili kupata masoko ya ndani na nje ya nchi.
Utafiti wa kiteknolojia juu ya maendeleo ya uwekaji briquetting ya makaa ya mawe ulianza zaidi ya miaka 100. Ingawa kazi kubwa inabaki kufanywa.