Dira yetu
Kuwa shirika linaloongoza ukuaji na ongezeko la thamani kwa viwanda vidogo na vya kati kwa maendeleo endelevu nchini Tanzania.
Dhamira yetu
Kukuza maendeleo na ushindano wa viwanda vidogo na vya kati nchini Tanzania kupitia utafiti wa kina, uwakilishi na ushirikiano